GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
Au kama yupo (tunae hapa JamiiForums) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?