Young Killer vs Young Dee vs Dogojanja vs M Rap

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
238
387
Hawa madogo wote wanachana na wote ni wakali. Ila kwa mtazamo wako binafsi, unahisi nani anaweza kumshinda mwenzake? Kuanzia uandishi, flow, mpaka swagga. Au unaweza kuwaorodhesha vipi kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho? Ushauri gani unaweza kuwapa mmoja baada ya mwengine ili wajiendelezeshe zaidi?
 
Young killer na dogo janja wote wako fresh nashindwa kusema nani mkali
 
Kwangu Young D ni mkali kuliko wote hawa!
Japo nau deiz anakuwa tozi kupitiliza, yaani tozi ile kimama mama!!
 
Kuna tetesi chini ya kapeti dogo anatinduliwa 0713 Huoni usela wake ulivo wa kike kike
Huko simo! ila dogo awali alikuwa vizuri saana japo ameshindwa kukaa mulemule.

Bado kwa hawa waliolinganishwa naye Young D yuko vizuri sana!!

Siku hizi maisha yamebadilika sana unaweza kukuta mtu anahesabu kuliwa NYOTA nayo ni usela!!

maajabu aisee!!
 
YoungKiller anajua ila Dogojanja nae Namuelewa...wanasauti tamu za kazi, wakitulia watafika mbali..
 
Kibiashara Young D yupo vizuri coz anaimba kila aina ya style,kimashairi na kin-consciousness Young Killer yupo safi ,Dogo janja sijawahi kumuelewa......Over
 
Young Killer mashairi yake yapo kwa stamina, yapo kwa Fid Q etc! Na ana sauti ambayo akibalehe vizuri itaondoka, hivyo flow yake ni ya mpito labda anywe mayai mabichi kulinda sauti isiwe nzito.
Young Dee yupo Unique, kwangu ni mkali zaidi, chaliii wa A town bado.
 
1.Young Dar es salaam.
dogo anajua kubadilika ukisikilizia nyimbo kama dada anaolewa na hii sio mchoyo unaweza kudhani zimefanywa na watu wawili tofauti kumbe ni mtu mmoja anaweza kubadilika.fundi mziki

2.Young Killer.
Ni mwandishi mzuri kuliko Young D.ila hawezi kubadilisha style yake.nyimbo zake zote hazina tofauti kwenye kuchana.Ila kipaji chake cha uandishi na kucheza na maneno ni kikubwa mno

3.Dogo Janja
alianza vzuri nyimbo zake mbili za mwanzo zilikuwa kali mno ila baada ya pale amekuwa msanii wa kawaida mno.Uhandishi wake sio mzuri sana na sio mbaya sana na flow yake haiwezi kustua masikio

4.Mrap
ni jina geni kwa wengi.ila yupo kitambo kwenye game toka alikuwa label kwa kwa hammie B ila hakuwahi kufikia level ambayo wenyewe waliitaka
 
Young Dee namkubali zaidi coz hachoshi masikioni, yuko very flexible though mashairi yake ni lightweight compared to YoungKiller, Dogo Janja ni mzuri pia ila nampa namba 3 baada ya hao wawili. M-rap namfaham ila hata kutoka hajatoka still anastruggle so sio fair kumcompare na hao!
 
Kwa wavuta unga watasema Young D.
Kwa wavuta bangi watasema Dogo janja
Kwa walevi wa pombe watasema Young killer
Basi wewe upo kundi gani!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…