Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,675
- Thread starter
- #21
Mkuu nina hamu na sato wa pale Tilapia mkuuHahahaha!!
Yaani kama unasoma hapa na wewe ndo muhusika aiseeee!!
Lazima ujue tu kuwa mkeo siku ile unagonga geti na hukufunguliwa bhasi alikuwa analiwa na jamaa
Maana kitendo cha kusema kuwa jamaa ni mnene na aliruka geti sharti likanasa hook za geti badae akadondoka.
Jua kabisa ni wewe na mkeo siku aliliwa.