Yanga juzi wamekamilisha duru ya kwanza ya makundi akiwa wa mwisho kwa point 1 sawa na asilimia 11.11% katika point 9.
Kwa kutumia madaraja ya ufaulu mapya ya form six inamaanisha yanga ana grade F. Yaan failure.
Kwa mechi za ugenini yanga wameambulia point 0 sawa na asilimia 0.00% na kwa mech za nyumbani ameambulia point sawa na asilimia 16.67% na kuangukia kwenye grade F Kama kawaida.
Wataingia raund ya pili wakiwa na wastan wa grade F huku wakicheza mchezo mmoja taifa na miwili nje ya tanzania.
Tuendelee kuwaombea yale ya Portugal yanaweza kutokea tena.