Yanga na Azam walivyorejea Kishua na Kisela

nadhani yanga wa kimataifa hamkutenda haki na usela wenu
 
nadhani yanga wa kimataifa hamkutenda haki na usela wenu
sasa wewe jinga mtu lifestyle ya mtu utaiwekaje kwa timu nzima???
kwahio mlitaka yanga nayo wavae suti mpaka Rwanda? yaani uvae suti ambayo hulipwi maana kwa wenzetu kuna sponsors wanaotambulika wamezamini yaani kuna makampuni ya kutengeneza suti wanafanya biashara na ndio maana Yanga inavaa t shirt zenye tangazo la Kilimanjaro lager kama mdhamini
 
kuna kipindi rage aliwanunulia suti simba wakavaa wakati wanaenda nje ya nchi wengi tulimponda kwa kujisia leo azam wamevaa suti imekuwa habari kubwa ajabu hivi ina maana watu hawana kumbukumbu au walikuwa hawajaanza ushabiki wa mpira
 
wengin miili ni mikubwa kushinda suti
Ndugu, SUTI ina HESHIMA yake: Kwanini uivae ukiwa umevaa kofia? Kwanini Usifunge vifungo? Au WALILAZIMISHWA kuzivaa suti? Siyo hulka yao? Napenda wachezaji wapewe maelekezo/mafunzo maalum namna ya kuwa katika mavazi ya aina mbali mbali....
 
Back
Top Bottom