article
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 184
- 344
Habari,
Kwanza, naipongeza klabu ya Young Africans kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika msimu uliopita kwa kuwa mabingwa wa NBC Premier Legue ,CRDB FEDEREATION CUP na kufika hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Africa.
Pili, nawapongeza kwa makusanyo makubwa ya fedha waliyoyapata katika msimu uliopita kama yalivyosomwa kwenye AGM ya Klabu (TZS.21.2 billion).
Tatu, nasikitishwa na ripoti kwamba Klabu ya Young Africans imepata hasara kubwa(Significant loss) ya TZS 1.1 billion kwenye msimu wa 2023/2024 inayotokana na malipo yanayoepukika, yanayodhibitika ya Bonus na gharama za masoko.
Hitimisho.Menejimenti ya Young Africans idhibiti gharama za masoko(Marketing expenses) na Pongezi( Bonus) zisizo na ulazina .Aidha,Klabu ilipe Bonus kwa kuzingatia uwezo wake wa makusanyo na mipango mikubwa ya klabu ya Miaka ijayo.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO,
Article.