92brow
Senior Member
- May 15, 2016
- 142
- 168
- Thread starter
- #41
Asante mkuu.Mkuu usihame nyumba wala nn, cha kufanya mwambie huyo mama kwamba kama anataka kumkubalia ombi lake ili mwanae aendelee kusoma ni kuandikishana mkataba ambao utakua na mashahidi wa upande wako na upande wake. Ili baadae kama kutakua na la kutokea wewe unakua uko upande salama kwamba nia ni mtoto asome basi. Lakini pia achana na fikra za huyo mtoto wa shule kabisa we endelea kubonyeza wale wa facebook, instagram au badoo