Wote walioukataa na kuupinga Mkataba mzuri na mnono wa DP World walikuwa / wana shida Vichwani mwao

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,018
16,801
Nampongeza sana Mheshimiwa Rais wangu Kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa kutowasikiliza Wapingaji ( wenye Shida Vichwani mwao ) wa Mkataba mnono na mzuri wa Waarabu wa DP World na kuingia nao.

DP World ndiyo Mkombozi wa Bandari zetu Kuu na Uchumi wa Watanzania ambao utachochea Maendeleo hata ya hawa so called Great Thinkers ambao Wao hawana Jema na kutwa tu ni Kumkosoa Rais wangu Kipenzi na Bora wa muda Wote Tanzania nzima Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake Tawala, Bora na Kilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu cha CCM.
 
Tusubiri taarifa za mapato ya serikali .kutoka Dp World yanayoingia serikalini huwezi toa pongezi kwenye hewa

Si wapo.tunasubiri ripoti za mapato je serikali imeingiza shilingi ngapi kutoka DP World Hatutaki porojo zaidi ya kiasi serikali imevuna kama mapato kupitia TRA na kupitia Dp World

Kwa sasa vuta subira pongeza baadaye

Pongezi tutatoa huko
 
Nampongeza sana Mheshimiwa Rais wangu Kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa kutowasikiliza Wapingaji ( wenye Shida Vichwani mwao ) wa Mkataba mnono na mzuri wa Waarabu wa DP World na kuingia nao.

DP World ndiyo Mkombozi wa Bandari zetu Kuu na Uchumi wa Watanzania ambao utachochea Maendeleo hata ya hawa so called Great Thinkers ambao Wao hawana Jema na kutwa tu ni Kumkosoa Rais wangu Kipenzi na Bora wa muda Wote Tanzania nzima Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake Tawala, Bora na Kilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu cha CCM.
Gentaaaa

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom