Wosia: Nikifa mke wangu asiolewe

Hello wana chit chat..!

Weekend iliyoisha ilikua nzuri sana kwangu, nilispend kuanzia ijumaa mpaka leo j3 bado nipo mapumziko btw kazini naingia kesho.

Katika spend hizo nilikua nipo na mke wangu kipenzi anayefanya ya kazi ya afya katika kijiji kimoja cha wilaya ya chalinze..

Kiukwel kwa mambo ya mke wangu naomba niandike wosia wangu.

Leo hii tarehe 13/02/2017
Mimi Multiphill90, nikiwa na akili zangu nimeandika wosia ufuatao.

Kwa vitu vya mke wangu kipenzi, kuanzia jikoni, kitandani, kimaendeleo kiukwel nathubutu kusema nikifa mke wangu asiolewe wala asitoe papuchi.

Nawazia vile viuno, ucheshi wake, huduma zake, duuh (alaf kirahis tu mke wangu aolewe/agongwe na jitu jingine...aaah wapi)

Hatua za maendeleo tulizopiga, jinsi alivyo mpambanaji , wallah siwez kukubali mke wangu aolewe/agongwe mie nikifa.

Kama ni mali nyie chukueni, kila kitu chukueni ila hata nikifa mke wangu asiolewe/asigongwe...


Wenu
Multiphill90
Je akianza kufa mkeo na ww usiowe wala kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine?

Alafu huo wosia wako hauna mashiko mahali popote na haukubaliki kisheria,

Usikute muda huu hujafa ana kamchepuko kake hukoooo kanamfunua malinda je ukifa?,leta sela mbadala hapa kuhusu korona nk sio nikiwa mke wangu asiolewe hayo sio mawazo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom