Dereva Suka
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 176
- 289
Safi sana kwa kukazia maarifa.
Ndio maana nikasema ni exaggerationSio wote kuna dada moja yupo na jeep ya red anajiita kokubanza maeneo ya Mikocheni mbona huwa ana relax
Na mwingine Neema Arusha anatemesha moto WRX vibaya mno nilipata kumwona Tanga kwenye Rali
Nampata Neema...na anaendesha manual Subaru.Sio wote kuna dada moja yupo na jeep ya red anajiita kokubanza maeneo ya Mikocheni mbona huwa ana relax
Na mwingine Neema Arusha anatemesha moto WRX vibaya mno nilipata kumwona Tanga kwenye Rali
I was doing a research and my method was Observation.Unaendesha gari au unachungulia wamama na wadada? NDIo nyie michepuko eee
Wananyoosha migongo...
Yaani hajui kabisa huyu....Vile nakuonaga unavyoendesha Vanguard ukiwa umeweka kishoka......eti hujarelax.......vipi huyu......
Good observation!I was doing a research and my method was Observation.
Woga tuGood observation!
Nami nimeshaona hilo, tena sio wadada tu, wamama ndio wengi wao! Sijui ni woga au ndio walivyofundishwa?!