Kila kitu sahv mpaka aseme mkuu wa nchi, hakna wizara huru ya kufanya kazi kiuweledi, hakna umuhimu wa wizara tena bora kuzitumbua ili tubaki kubana matumiz, tunapoteza hela kuwalipa tu hawa nyumbu hata hawana lolote, kodi tunalipa mpaka basi lakn kazi ya wizara hii haionekan mwaka mzima,
Hakuna ajira mpya, uhakiki usoisha, hakna nyongeza mshahara, hakna kupanda madaraja, hakna uhamisho na kila kitu Hamna, sasa kaz 1 yauhakiki inatumia mwaka mzma? Na bado inaendelea je kuna watu kwel na watendaji hapa au majipu tu? Tena yanatoa usaha yenyewe!
Hii wizara kwa sasa haina maana ni bora tu ufutwe kibaki kiidara cha utumishi tu ikulu kiwe chini ya Rais kusiwe na waziri wala katibu mkuu waondolewe tuu.
dah serikali sio poa lkn...nlipokua nasoma nlikua nataka kaz za mshahara 1m na zaidi.....kwan voda , airtel , tigo na mabenki na wenyewe wanafanya uhakiki.......my take kazi za serikalini mishahara yake mnaijua tusililie afu baadae tukaanza kulalamika mishahara midogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.