endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,190
- 1,644
Wewe kweli unatembea mtaani kuonana na watu au unajifungia tu ndani??watu wameshagundua wamefanya kosa wewe!!!!Team Bavicha kwa kudandia matukio hamjambo...lakini mkae mkijua kwa utawala wa sasa style yenu ya kudandia matukio ili mtoke hailipi...wananchi tunawacheka sie na Magufuli...