Wimbo Wa Willy Paul Ft. Alaine Wawabamba WaTz

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,740
1,004
Bila shaka nimeshuhudia mwezi march na April redio stations na TV station za Bongo zimetekwa na nyimbo ya Dogo Willy Paul aliyemshirikisha mpenzi wake Dada mjamaica mwenye asili ya marekani Alaine, ambae ameamua kuhamia Kenya na kufunga ndoa na Dogo Willy

Yes I do! Ni nyimbo nzuri sana, na ni kwa Mara ya kwanza nyimbo ya mkenya kubamba na kutop list za top 10 za Bongo, kwa mda mrefu...

Wasanii Kenya kazeni, mnamlima mkubwa kupanda kufikia viwango vya Rayvany, Harmonize, Darasa, na Kiba na King Mond mwenyewe...
 
Soko la Dar hata ukiingia kwenye top 10 utaishia umaskini tu maana ni wavaa milegezo na wabahiri sana, hawawezi kununua kanda wala nini.
Mwanamuziki yeyote lazima upambane kungia kwenye top 10 ya Nairobi, hapo unakua umetoka kimaisha maana milioni za hela zinakushukia. Ndio maana hata Bakongo wote lazima wang'ang'ane kufika Nairobi.
 

Kwa uimbaji wa wasanii wa Kenya hata top 1,000,000 ya Tanzania hawawezi kuingia.
 
Map
 
Umewaoa Diamond, Kiba, Darasa, na wengine, unalipa mkuuui....

Sema kazi za wasanii wabongo zinaibiwa sana na wakenya sidhani kama wanaliona hilo...... Being remixed, hati miliki, kutumika mwenye mihadhara etc
Music Tanzania hailipi kabisa hamna faraja kuwa top
Umewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…