Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.