Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,746
- 40,894
- Thread starter
- #41
amechelewa; hiyo hotuba niliyokuwa naifikiria ilitakiwa iwe wakati anaanza Urais na kuhamasisha wananchi halafu anafuatia vitendo. Lakini sasa hivi it doesn't matter anymore.