Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

Hapana sio wewe peke ako, nimewah Kuona hata jiran yangu hapa, mpaka mm namdai.
Ni.changamoto za kawaida ndan ya ndoa, pasta mda kuongea nae sehem tulivu atatulia. Umeshamzaa nae hakuna namna
 
Ingekua mimi ningemuacha tu. Hata milango na madirisha imeona kua wewe hukumtuma kukopa, hela zake hazikutumika kuendesha familia. Huyo hakufai achana nae tu. Watu kama hao hua wanaudhi sana mwishowe uje kumdunda upate kesi. Yeye kwenda kuishi kwa dada yake ni kama vile ameshaanza hatua za kukuacha ila kwasasa anashindwa kukuacha mazima maana anajua wakumsaidia hakuna.
 
Back
Top Bottom