Pole!...na wewe si ungejiunga huko huko mashahidi?N
Mmh hao mashahid wa jehova ni wawapi?kaa mamy muombe mungu baraka zako zinakuja marufuku kukata tamaa,kazana kwenye maombi tu..hao mashahid wa jehova watakuja tu km mungu kakuandikia ila mimi nina sali lutheran nilikuw nina mchumba ambaye anasali hayo makanisa ilikuwa mwez wa kumi na mbili nifunge ndoa ila acha tu nilikataliwa na ukoo wote na kanisan kwao wakasema wanatakiw waoane wenyewe kwa wenyewe..niliumia sana maan muda wangu niliopoteza kumbe dhehebu tu limenitenganisha nae..mpka sasa nina miez miwili tangu tukio hilo linitokee kweny maisha yangu na sitokuja kusahau bila wazaz wangu kunipa moyo sijui ningekuwa wapi..nachokushauri msichan mwenzangu mtegemee mungu tu wako yupo tena atakupa mtu mwema na baraka nyingi zitafunguka kwako hadi utashangaa
Naamini hivyo piaUkiona mtu akikuacha alafu baadae anakuja kukulilia tena kwamba anajuta kukuacha basi hakuwa chaguo lako! Nina ushahidi kwa baadhi ya watu wangu wa karibu waliofikiri wana mkosi ila baada ya muda kupita walipata their right choice hadi wakasahau machungu! Tafadhali usikurupuke kwa kudhani umechelewa! Kama kweli una tabia njema nakuhakikishia haya machungu utasahau!Take it from me
Anyway jichunguze inawezekana uko una paramia wanaume wasiyo size yako..! Kuwa makini possibly unajirahisi sana kwa wanaume na wao wanatumia udhaifu huo kutimiza haja zao kwa kujipatia nafasi ya kujiburudisha na wewe.Asante kwa ushauri... Ila sijui ata radha ya pombe, disco pia sijawahi ingia kuhusu social networks nipo kawaida sana
Jaribu wanaume ambao ni "Mashahidi wa Yehova"
Hawajui kutenda msichana hawa hata uweje!
Asante nashukuruPole sana, saa nyingine kuolewa ni bahati ya binti. Unaweza kumkuta binti ana sifa zote za kuwa mke; mzuri, ana tabia nzuri, mchapa kazi, well educated, mpishi mzuri, anayemjali sana mwenzie kwenye kila kitu lakini wanaume wanamzunguka mmoja baada ya mwingine.
Wakati mwingine unaweza kujishuku kwamba una kasoro mahali na hakuna mwanaume katika wote uliokuwa nao anaweza kukwambia ni kasoro ipi imemfanya aamue kuachana nawe badala ya kufunga pingu za maisha.
Muombe Muumba wetu akusaidie labda anaweza kukusaidia na kufanikiwa kupata kile ukitakacho katika maisha yako,
Asante kwa ushauriAnyway jichunguze inawezekana uko una paramia wanaume wasiyo size yako..! Kuwa makini possibly unajirahisi sana kwa wanaume na wao wanatumia udhaifu huo kutimiza haja zao kwa kujipatia nafasi ya kujiburudisha na wewe.
Sali sana, pia chunga mwenendo wako possibly kuna mambo unafanya ukidhani hawaoni kumbe wanayaona kiufupi badiri life style utaolewa tuu.
Kwanza mashahidi wanaenda jumba la ufalme zaidi ya mara nne kwa week...hahaha. wewe bwana ngoja nikwambie kitu. jehovas's witness' kwa kweli wanajua kuchambua biblia na vichapo vyao vya mnara wa mlizi na amkeni ni vizuri kabisa na mafunzo ya maisha.
kumbuka pia wao ni binadamu na ndio maana wao wakuu wa majumba ya ufalme ata mamissonary wanaruhusiwa kuoa maana wanajua kukaa kama mseja yataka moyo na ni wachache sana wanaweza.
sasa binti ataweza masharti ya mashahidi wewe? kwana mambo ya kugegedana kabla ya ndoa wao no
Asante nimekuelewaVenuss changamka inaonyesha hao wachumba/wapenzi wako waligundua wewe si mjuzi kuendesha uhusiano kwa akili. Inaonyesha unaendekeza sana huruma/kuamini haraka sana bila kuangalia uhalisia. Tena hapa ndiyo maana wenapata ujasiri wamekukosea lakini bado wanakufuata kukujaribu tena. Ukiendelea na aina hiyo ya mtazamo....ukubali hayo yanayokutokea. Kuwa jasiri don't fall in love stand in love.
Umetoboa mule mule chief. DaahUna tatizo....unayapa mahusiano too much attention
jaribu ku have fun kidogo
akija mtu hata unamkubali mchukulie kawaida
usi invest a lot hayo mahusiano
nenda taratibu tu......
wanasema love comes when you are not looking for it...
Kwanza mashahidi wanaenda jumba la ufalme zaidi ya mara nne kwa week...
Halafu zile "amkeni" na "mnara wa mlinzi" unazipamba chumbani kwako mpaka ukutani
Kila siku una assignment ya kutafakari mistari kadhaa ya biblia hamu na muda wa kugegeda utapatia wapi?
Mkuu kama unamuonekano wa mashahidi kajaribu maana waliotangulia ni wale wale watendaji.Tupe hali ya hewa huko PM.... nikufuate!??
umeshaambiwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe..hawataki mtu anayetoka dhehebu lingine bdo tu utaendelea kulazimisha?ki hali ya kibinadamu utalazimika ukubali japo inaumaPole!...na wewe si ungejiunga huko huko mashahidi?
Asante my kwa ushauri wakoMy dear i know what u are passing thru and i know how it feels, i have been pasaing through that pia sjjawai timiza mwaka ktk relation...but niliamua kuyachukulia mapnz km extra thing na kuish maisha yangu sikutaka kudate tena...ila sku sina hl wala lile nkapata mtu anaenipenda sanaaaa na tuko kwa process za ndoa, ujue tu hujakutana na mwenza wako na kuna ktu mungu anakuepusha tunapta njia tofaut lakn lazma tufike wote, sali sana ila yan jisahaulishe kbsa waone wanaume km washkaji tu the day atakuja wako hutoamn hatokua na mashart wala hatokua na maneno.