Ndugu yangu ni vile siwezi andika kila kitu lakini ata ungekua wewe umeishi na mm ungenihurumia tuMm naamini your right choice bado hajaja! Muombe Mungu sana utafanikiwa! Kitu kingine ebu jaribu kujichunguza na ujaribu kuwadadisi hao waliokuacha ili kupata mawili matatu japo najua wanaume walio wengi humuacha mtu bila kumwambia matatizo
Venuss , kwanza napenda kukupa hongera kwa kiwekezo alichokujalia MUNGU wa ELIYA yaani ninamaanisha nyota an kipawa cha mafanikio, na ndiyo maana mwanaume utakaye kuwa naye lazima afanikiwe na akiachana na wewe lazima aloose.
Sasa kwanza usikate tamaa kabisa, cha muhimu mtangulize MUNGU naye ni mwaminifu atakupa aliye wa kwako peke yako.
Usijari kwamba miaka inaenda an vipi, na napenda ujue kwamba yao wanaokuacha uenda siyo wako, pili jaribu kujichunguza tabia zako . tatu kagua jina lako limetoka kwa nani , yaani umerithi jina kutoka kwa nani katika ndugu na watu wenu wa karibu.
Ukishanijibu nitakuja na majibu yako na mambo yako yatakuwa mazuri sana.
Asante kwa ushauri... Ila sijui ata radha ya pombe, disco pia sijawahi ingia kuhusu social networks nipo kawaida sanaPole sana imani yako ni mhimu kama mkristo kimbilia kanisani unaandamwa na roho za kukataliwa ila nikuombe kama unamtegemea Mungu hakikisha unakuwa msafi kiroho.
Mungu afanyi kazi na watu wachafu hasa wa roho na mwili omba bila kuchoka huku ukibadili mtindo wa maisha hasa maisha ya kijinga km ulevi, uzinzi, kuishi mitandaoni na kwa taarifa yako wanaume tuliowengi hatupendi wanawake wanaojifanya wakisasa sana mara kila mtandao wa kijamii upo unapenda disco na wanaume wengi hatupendi wanawake wa hivyo hasa kwa kuoa.
Mnnhh.... My Lord.. Umejiitaje hilo jina!?Mdada njoo Pm
Hahahah mkuu wa hivyo anakua sio shahidi kwelihahahaha alikudanganya nani wewe....mashahidi wa yehova nao wanatendana bwana ndio maana kwenye dini yao kuna kutengwa pale unapovurunda na tena ishu namba moja ya kutengwa kwa mashaidi wa yehova ni watu kugegedana
Mmh hao mashahid wa jehova ni wawapi?kaa mamy muombe mungu baraka zako zinakuja marufuku kukata tamaa,kazana kwenye maombi tu..hao mashahid wa jehova watakuja tu km mungu kakuandikia ila mimi nina sali lutheran nilikuw nina mchumba ambaye anasali hayo makanisa ilikuwa mwez wa kumi na mbili nifunge ndoa ila acha tu nilikataliwa na ukoo wote na kanisan kwao wakasema wanatakiw waoane wenyewe kwa wenyewe..niliumia sana maan muda wangu niliopoteza kumbe dhehebu tu limenitenganisha nae..mpka sasa nina miez miwili tangu tukio hilo linitokee kweny maisha yangu na sitokuja kusahau bila wazaz wangu kunipa moyo sijui ningekuwa wapi..nachokushauri msichan mwenzangu mtegemee mungu tu wako yupo tena atakupa mtu mwema na baraka nyingi zitafunguka kwako hadi utashangaaMmmh! .. Asante pia kwa ushauri
Asante... Ila kama mwanamke napenda sana kujua nn wajibu wangu ni mmPOLE sana unajua wavulana kuna vitu vingi tunapenda kutoka kwa wasichana ikiwemo kujituma wakati wa tendo la ndoa...si maanishi kuwa ufanye tendo la ndoa kabla ya ndoa hapana ila kutokana na utandawazi na mabadiliko nchi....vijana wengi tunajikuta tukishindwa kudhibiti tamaa za mwili hivyo tunajihusisha na ngono kabla ya ndoa hivyo ukiamua kufanya tambua kuwa sisi wavulana asilimia kubwa vichwa vyetu vya chini vinasumbua sana hivyo ili kutukamata unatakiwa uwe makini kwenye tendo la ngono, hakikisha unakuwa msafi {ni bora kuoga kila baada ya tendo la ngono} jitume haswa kitandani onyesha ushirikiano wa hali ya juu badhi ya wasichana huwa mnajisahau sana unakuta jamaa anakukuruka wewe umetulia kama gogo kaa ukijua mapenzi yamebebwa sana na tendo la ngono {usishangae ninavyoliita ngono maana huwa tendo la ndoa baada ya kuona } kama anataka kunyonywa bamia yake hakikisha unainyonya mpaka inatoa mrenda kwenye mapenzi hakuna uchafu. epuka ugomvi na lugha za karaha, jifunze kujishusha even if mwanaume ndie mwenye makosa, kuwa muwazi na mjenge mpenzi wako awe muwazi kwako...kaa ukijua kuwa mwanzo wa ugomvi ni kulazimisha mtu kitu ambacho yeye hataki kufanya hivyo epuka kumlazimisha mpenzi wako kufanya jambo lolote ambalo unahisi atakuwa hapendi kufanya...jambo la muhimu kabisa kuliko hayo hapo juu ni KUMRUDIA MUNGU WAKO jifunze kutoa sadaka yakabidhi mahusiano yako kwa MUNGU fanya ibada kama siku zako za kuishi zinakaribia kuisha...ukifanya hayo hapo juu ukiachika usipende tena labda wewe hujaandikiwa kupendwa
Hahahah mkuu wa hivyo anakua sio shahidi kweli
ukikutana na shahidi deep kila kona na begi limejaa vitabu vya mnara wa mlinzi, biblia inasomwa mpaka sokoni anaanzaje kumtenda msichana?
Asante kwa ushauriPole kwa unayopitia, hupaswi kukata tamaa. Dunia ina madhira Mengi lakini PIA ina mambo mengi mazuri na yanayovutia.
1. Usijalaumu kwa yalitokea- huna haja ya kuhisi kuwa mahusiano yako ya nyuma yalifikia mwisho kwa sababu yako.
Kusudi la maisha ni kuishi, tofauti kati yeti ni namna ambavyo kila mmoja anaamua kuishi.
2. Mahusiano ni Muhimu ila si lazima katika maisha - kwa maelezo yako ni kuwa una nia njema na safi ya kuwa na mahusiano; hupaswi kuingia kwenye mahusiano Kwa haraka, chukua hatua taratibu, fanya uchunguzi WA kutosha na Mara zote usiingie jumla kwenye mahusiano na mtu.
Take slow paces.
Amini ya kwamba yupo mtu sahihi mahali fulani Kwa ajili yako. Kuwa mtulivu na muombe Mungu akuongoze.
KILA LA KHERI
Ndugu yangu ni vile siwezi andika kila kitu lakini ata ungekua wewe umeishi na mm ungenihurumia tu