Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,651
- 6,875
Mkoa umechanganyika makabila kibao, kijiji ninachotoka mimi japo kwa sasa kote ni makazi kimejaa makabila kibao, kwa hapo tutapingana.
Kuhusu wachaga kutawala ktk uchumi, hizo ni jitihada binafsi, wachaga ni wapambanaji sio Kilimanjaro tu wewe nenda kila mkoa mchaga humkosi, ni kama nywele kwapani.