Jews wamegawinyika ktk makund yafuatayo
1. N wale laiozaliwa ktk kabila la Judah kat ya mama na baba na wanafuata dini ya Judaism hawa wanatambulika kama real jews
2.kuna ambao ambao wamezaliwa ktk kabila Judah bt hawafuat dn ya Judaism wao wanabaki km Jews kutokana na kabila tu.
3. Kuna ambao wamezaliwa wakiwa wamechanga mzazi mmoja Jews mwingine sio
4. Na kuna ambao hawajazaliwa ktk kabila la Judah ila wamekuwa Jews kutokana na kufuatana na mafundisho ya dini ya Judaism