Where Is My Comrade Kinana

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
I'm just asking, as a member of CCM political part,y I need to know where Is Comrade Kinana ?

Yesterday I went to Lumumba to solve some issues facing us in our region concerning election.
After met with Senior Leader,before I leave the office, I asked I want to see Secretary Kinana, but unfortunately he said, Kinana is out of Office for 2 month's now.
I asked why? He replied, you didn't hear your
Chairman Dr Magufuli that Comrade went to India for treatment?

I got shocked!!. I left the Office.

CC Lizaboni Mchambuzi Al-Watan Pascal Mayalla MsemajiUkweli Nguruvi3 Mag TataMadiba MOTOCHINI Salary Slip
 
Kiuhalisia hakukubaliana na mlichomfanyia nape!! Nna hakika hata hakubaliani kabisa na sizonje!! Ni furaha yetu kuona moshi unafuka hapo lumumba...mlichoifanyia cuf si kabisa!!
 
Sass hivi ametumwa china kwa matibabu yasiyokuwa na muda maalumu.
Wajuaji wote sasa hivi ni kutumwa tu kwa matibabu.
Na kwenye matibabu kuna mawili mgonjwa kupona au kufa
 
Hoja nzuri sana mkuu, Watanzania kweli tunapenda kuja ndugu yetu Kinana anaendeleaje.
General Mangi, ungeandika Kwa kiswahili tu ili watu wengi waelewe. Kingereza chako Pia Hakuna nyooka sawasawa, ila najitahidi.
 

I leaved ...I Left!
 
Leaved=left
 
Hoja nzuri sana mkuu, Watanzania kweli tunapenda kuja ndugu yetu Kinana anaendeleaje.
General Mangi, ungeandika Kwa kiswahili tu ili watu wengi waelewe. Kingereza chako Pia Hakuna nyooka sawasawa, ila najitahidi.
Jitahidi hivyohivyo mkuu, mbina nimekiandika kwa lugha nyepesi sanaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…