nachasudwa
Member
- May 17, 2015
- 72
- 34
Maisha yako yangekuwa haya tuhusu usinge tuletea Uzi huu,kwahiyo soma elewa na lizika na kile utakacho shauliwa au kujibiwa na si ndo lengo lako haswa LA kuleta Uzi huu tuuchambue na kuujadili,una Uhuru wa kusema chochote ila usiwasemee wanaume wenzio kila MTU anajua anacho taka,usicho kitaka wewe wenzio wanakiona chema,na unacho kitaka wewe kuna wanao kitaki pia,dunia IPO hivyo nafsi yako haitaki kitu ni wewe,usitukane au kuzalilisha mwanamke kwasababu ya mtazamo wako,kuwa na busara na hekima japo kidogi basi..Kila mtu na maisha yake. Kama wewe hela ndo kila kitu kwenye maisha yako endelea kuzitafuta uwe nazo nyingi. Mimi niache na maisha yangu na wala hayakuhusu.