Makonda hana ajira, ya kuwapa jobless wote wa Dar aliwahi kuwaita wanafunzi wa vyuo vikuu akiwa DC kinondoni aliwapa nini? Hana mipango ya kazi kabisa pamoja na kuaminiwa na jpm bado hajatambua ngazi aliyonayo ni daraja la kumvusha kiuongozi anapaswa abadilike haraka awe anafikiria kabla ya kutoa matamko , la sivo narudia la sivyo ataondoka soon