Mpenda burudani na nisiyependa kuadithiwa na wakuongea vitu kwa ushahidi nilikuwepo xcape 1 na ile ya Dar live, ki ukweli kabisa huyu jamaa anasifiwa wakati alingani na ukweli,shoo ilipooza mno,watazamaji hawakuwa na mzuka kabisa kutokana na mtoa burudani halimudu jukwaa,dancers wanatofautiana kiuchezaji kila mara, usije ukailinganisha na ya Dar live ule ulikuwa ni moto zaidi ya fire.Kwa yule aliyeenda sehemu zote 2 ataelewa ninazungumzia nini lakini pia watu wasichanganye ile shoo ya Dar Live DIAMOND alishachukua chake mapema kwa sababu waandaji ni Airtel na yeye alikuwa msanii mlengwa japo alikuwepo msaga sumu na wengine,ila ile ya xcape 1 ilikuwa na wasanii wengi wakubwa lakini kilichofanyika hakuna kitu ila ni ushabiki tu.