THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,922
- 13,494
Husika na Kichwa cha habari hapo juu.
Pamoja na kwamba Moderatos wa hii Forum wamekua na kazi kubwa sana ya kusimamia sheria na utekelezaji wake bado suala la kukashifiana kwa misingi ya iman zetu humu ndani bado limekuwa ni changamoto kubwa sana.
Haiwez kupita siku au masaa kadhaa humu ndani pasi na kuanzishwa uzi wowote wenye maudhui ya kukashifu iman za watu.
Mimi kama muislam sio mara moja au mara mbili nakutana na hali kama hiyo.
Naenda moja kwa moja kwenye nia ya kulizungumza hili.
Nia yangu ni kusema kwamba.
1.Uislam kama Uislam hausapoti hata kidogo kukashifu iman ya mwingine hata kama mtu huyo anaabudu ng'ombe au mti.hiyo ni juu yake. Bali uislam unaruhus kama kuna uwezekano wa kumlingania na kumpa mawaidha mtu huyo na kumwambia uzur wa iman hii kwa lugha njema na yenye ushawishi wa hoja pasi na kumkashifu wala kumlazimisha.
2.Uislam haufundishi muislam kukaa kimya pale anapoona kuna upotoshaji wa wazi wazi katika iman yake pasi na kusimama na kutolea clarifications.
Kwa muktadha huo basi nachelea kusema kwamba sio mara moja au kadhaa sisi tumekuwa tukitokeza humu jamvin kama waislam tukihubiri mema kuhus uislam na kusimama kukanusha maovu ya baadhi ya vikundi vinavyofanya violence in the name of islam kwa bidii ya hali ya juu sana.
Sio mara moja au zaid sisi tumekuwa tunasimama na kueleza kutokuhusika kwa uislam kwa vitendo vya violence kama vya bokoharam alshabaab alqaeda na kadhalika lakin mbaya zaid tumekuwa tunabezwa.
Hatueleweki na zaid zaid tunaona kashfa kama hizo zinazid kuongezeka tu siku baada ya siku.
Kwa mantiki hiyo basi kama baadhi ya ndugu wale wasio waislam imma kwa makusudi au kwa bahati mbaya wanapoanza kutuinsult sisi waumin wa iman hii kwa kigezo cha kukejeli na kuchochea hali ya mihemko isiyo na lazima wasiumizwe pale watu wataporeact in the same way.
Kama kila mtu ana iman yake basi ni vizuri kila mtu aheshimu iman ya mwenzake.
Ukija tu from nowhere na kuanza kuita waislam majina mabaya kama magaidi na kadhalika usichukie baadhi yao watapokuita wewe ni shoga.
Inafikia kipindi watu huishiwa na uvumilivu kwa kejeli na matusi yanayotolewa bila sababu za msingi.
Ukijibiwa vibaya kwa maneno yako mabaya basi tambua kwamba wewe ndiye kustahiki kulaumiwa.
Natoa wito kila mtu aheshimu iman ya mwenzake ama la kama umemtamkia mwenzio kauli mbovu akikujibu kwa kauli hizo jua kuwa imestahiki kuwa hivyo.