fabianmalaba
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 280
- 183
Wazo zuri sana mkuu tena isiwe genge iwe ufugaji wa kuku kama tunajikusanya ata kumi to tunaanzisha mrad mnzuri sana kwa mm nipo teyari ukiwapata wengine ni pmNdugu zangu,
Kwa jina naitwa Fabian,umri wangu ni miaka 30 nipo mkoa wa Dar es salaam,elimu yangu ni taaluma ya teknolojia ya habari ngazi ya cheti tu,kutokana na kukosekana kwa ajira hapa kwetu, mimi kama kijana mwenzenu nimekuja na wazo dogo sana la ujasiliamali,
Wazo langu ni hili,
Tuungane vijana 15 jinsia mchanganyiko,tukutane mahala popote tutakapo kubaliana kukutana tujadiri wazo langu hili
TUKIWA WATU 15 JINSIA YOYOTE,KATIKA HAO KUMI NA TANO NAAMINI TUNAWEZA KUANZISHA GENGE LA CHAKULA MAHALI POPOTE KWA KUCHANGIA KILA MMOJA ELFU 20 ILI TUTENGENEZE BANDA NA KUNUNUA VIFAA VYA SHUGHULI NZIMA HALAFU TUTAPEANA ZAMU YA KUHUDUMIA KATIKA SHUGHULI YETU MRADI KUWEPO NA UONGOZI NA TUTAIWEKA KATIKA NGAZI ZA SERIKALI ILI KUSIWEPO NA UJANJA UJANJA,BAADA YA MWEZI MMOJA TUNAJUMLISHA MAUZO YOTE TUNAKAA CHINI NA KUJADILI NINI TUFANYE ILI KUBORESHA ZAIDI
natanguliza shukrani zangu za dhati,
kwa atakaekuwa tayari basi tuwasiliane hapa au tunaweza kutengeneza kikundi cha mawasiliano kwanza ili tujue tumefika wangapi ndipo tukutane na kujadiri suala hili pengine kukawa na fursa nyingine tofauti na hii
tutafutane hapa +255765325644 (whatsapp)
.Watanzania hususani porojo kibao, hawawezi kufanya kazi kwa vikundi
- Vipi kwenu ni hapa hapa Dar na eneo vipi la kufanyia business vipi ?
ndugu yangu,siwezi kukushawishi hata kidogo maana jambo hili ni hiari ya mtu, hapa hakuna porojo hata kidogo na kila mmoja lazima awajibike kufanya kazi, kama unafikiri watu hawawezi kujiunga katika vikundi basi subiri tumalize kikao tutakachokifanya hapo mbeleni tutakupa mrejeshoWatanzania hususani porojo kibao, hawawezi kufanya kazi kwa vikundi
- Vipi kwenu ni hapa hapa Dar na eneo vipi la kufanyia business vipi ?
hilo wazo lipo akilini mwangu hata kabla ya kuweka wazo hapa, kwaiyo usipate tabu najaribu kusubiri nione response ya watu ndipo nitengeneze hilo kundi la mawasiliano la whatsappBas tufanyeni kitu kimoja tutengeneze ka group cha wsp tukifika kama 10 ivi alaf tupange iyo kitu ila tuwe wa dar tupu me naandaa ilo group
yani hilo lisikupe tabu ndugu yangu,natumaini hata mwezi ujao hautafika tutakua tumeshakutana tayariTufanye mchakato madhubuti ili ikibidi hata Tarehe 1 mwezi ujao tuanze kazi
sawa kaka naomba tuwe wavumilivu tu ili tuwe angalau kumi na zaidi ndipo tukutane nadhani ndio jambo la busara zaidi au unasemaje mkuuKumbe message niliianzia katikati nami nipo Dar es Salaam na tupo tayari, mimi na Wife maana wote ni wahanga wa ajira za serikali ya awamu ya tano
nashukuru kwa mwitikio wako naamini tutakua wapiganaji wote, tuvute subira kufikia kesho kutwa tujue tupo wangapi ili tupange namna ya kukutana na kujadiriana,cha msingi mjaribu kunitafuta kwa namba yangu iliyopo huko juu nijue tumefika wangapiNi wazo zuri sana. Upo wapi mkuu mi nipo tayari na tayari ninaye kijana mwingine hapa yupo tayari pia.
asante sana karibuwazo zuri songa mbele
Sikukatishi tamaa ila ukifanikiwa kuwaweka kikundi na mkafanya jambo hususani la kiuchumi mimi nitajitoa JF - Labda lingekuwa WAZO LA MAANDAMANO YA KISIASA, Ungefanikiwa kwa 100%ndugu yangu,siwezi kukushawishi hata kidogo maana jambo hili ni hiari ya mtu, hapa hakuna porojo hata kidogo na kila mmoja lazima awajibike kufanya kazi, kama unafikiri watu hawawezi kujiunga katika vikundi basi subiri tumalize kikao tutakachokifanya hapo mbeleni tutakupa mrejesho
nashukuru sn kaka, lakini nimejaribu kutolea ufafanuzi katika maoni yako kwa maelezo marefu huko juu kwahiyo hakuna shaka juu ya hili.Hongera sana mkuu kwa wazo hili..
Ila kwa ushauri ungeanza na wale vijana ambao mlisoma nao na bado hawajapata kazi kama wewe au pia wale wa mtaani kwako/kijiweni ingekuwa rahisi kwenu kuendesha hiyo biahsara sababu mnajuana vizuri kuliko hapa utapata mwingine yupo namtumbo mwingine uchira mwengine.