Waziri wa Ardhi Vipi Hekalu la Mchungaji/Mbunge Mama Rwakatare Mbona liko kwenye Hifadhi ya Mikoko?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wadau mtakumbuka Mchungaji Mama Rwakatare ambaye pia ni Mbunge wa CCM ana hekalu lake Kawe Beach ambalo liko ndani ya hifadhi ya Bahari eneo la Mikoko.Hekalu hill halijaguswa ila Nyumba za Maskini, Wanyonge wa Nchi hii ambazo ziko mbali Na mikoko zilibomolewa Kwa mbwembwe nyingi Na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni chini ya maelekezo ya Waziri Lukuvi Na watalaam wake.Tunajiuliza iweje Hekalu la Mchungaji Rwakatare ambalo liko kwenye Hifadhi ya Mikoko mpaka leo Halijavunjwa?Au Kwa kuwa ni Hekalu la Kada wa CCM Analindwa?Mchungaji Rwakatare Hebu Mwogope Mungu Kwa vitendo.
 
UONEVU, UONEVU, UONEVU KWA WANYONGE
 
Hapo nina hakika mfano jumba la kiongozi au kada wa CHADEMA/CUF lingekuwa next to her mansion, hilo la mwingine lingevunjwa na la huyu mama lingeachwa
 
Hilo jumba lingekuwa la Mbowe wangesema sheria ifuate mkondo wake! Huyo ni mwana ccm mwenzao usitegemee sheria itafuatwa.
 

Wana CCM wana kinga ya kuvunja sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…