wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Ni nature yetu binadamu kubadilika...ndio maana hushangai wale tuliowaita mafisadi leo ndio wakombozi wetu...huko mbeleni usije kushangaa sifuri ya bashite ikageuzwa div.1.
kuna ubaya wowote, mangi kuongea ukweli?Uwa nashangaa sana kwa baadhi ya WATANZANIA wanaosaidiwa kufikiri na KIMAMBI...........
Bora kusaidiwa kufikiri na kimambi kuliko JPM anayetudanganya kama watoto. REF: hata italy haijengei nyumba wahanga wa tetemeko"Uwa nashangaa sana kwa baadhi ya WATANZANIA wanaosaidiwa kufikiri na KIMAMBI...........
Does it make any difference?Siyo Nape tu.......
Wanaccm wengi waliokuwa wanamshabikia Bwana yule kwa nguvu zao zote hivi sasa wamepiga U turn, na hivi sasa wanajuta ilikuwaje Chama Chao kilimpitisha Bwana yule kwa nafasi hiyo kubwa kabisa hapa nchini, mtu ambaye utawala wake hauna vision yoyote na badala yake amejaza visasi!
Unajiona wewe ukiwa na kipi cha ziada hadi umdharau huyo binti kiasi hicho?Uwa nashangaa sana kwa baadhi ya WATANZANIA wanaosaidiwa kufikiri na KIMAMBI...........
Lead haina 5Ws+ H
khaaa!!!Your too late Nape as your the Leader to make Freedom of Expression is banned and you have successed with your Team some how.
Today you want to bite your own tail hypocratically due the repucations now that are revailing to all of us, as you thought you'll affect and limit the opposition side and you'll be at the safe side sothn which was wrong.
All of you and you TEAM you'll pay for this and am sure you'll give you're counts at the END,see now how thns moving beacuse of you and you're TEAM.
.
Ainisha jinsi alivyotoa agizo na sheria ipi unahisi haikufuatwa?Tuanze kukosoa na ile ya kumpa Dangote makaa ya mawe bila kufuata Sheria
Jaribu kukosoa ukamatwe