Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,581
- 23,389
Hii thread kutoka lumumba
Huyo G Sam ni nyumbu mwenzio wa pale ufipa!You basterd lier! Magufuli juzi akiwa na Wanaccm Alikiri kuwa Yeye ndiye aliyezuia Mikutano ya siasa na Matangazo ya Moja kwa Moja ya Bunge. Unamsingizia Nape kwa Kuwa alichoka Kupelekeshwa na Mjamaa ambaye Kichama hajawahi hata kuwa Mwenyekiti wa Shina!