lucas mollel
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 255
- 133
Just for the short while.coz no forever governing.
Kuna pombe mbadala imeshatengenezwa tayari wa hivyo viroba. Hiko kwenye chupa na inauzwa 1300 it almost ni sawa na bei ya kiroba. Kuna jamaa wanatengeza kiroba kinaitwa 'nguvu' so tayari wameshajiandaa!watatengeneza viroba vya Lita moja sasa
Amesema wameshakaa na wenye viwanda vya kutengeneza pombe hizo na kuwaambia viroba kuwa kuanzia tarehe 1/3/2017 ni marafuku kutengeneza viroba.
Amewataka watengeneze pombe zenye ukubwa unaokubalika kwani viroba vimekuwa vikitumiwa na wanafunzi.
Amesema zoezi hilo litaenda sambamba na zoezi la kupiga vita dawa za kulevya
Kwa asili kiroba ni aina ya ujazo wa mifuko ya kuwekea nafaka, lakini ulifika wakati ujazo wa pombe za 'paketi' nao ukapewa jina 'viroba'.Ujazo unafuatia ule wa paketi ndio wa chupa. Na aina ya hivi vileo vinaitwa pombe kali au 'Spirits' ambazo baadhi yake Konyagi, Valuer, Vant n.k. Ila kwa sababu za kibiashara, mtengenezaji mmoja kaamua kuipa pombe yake jina Kiroba. Hivyo hata akiitia kwenye ujazo wa chupa ataendelea kuiita Kiroba japo ujazo sio wa Kirobawatatengeneza viroba vya Lita moja sasa
Ok wewe hoja yako hai iko wapi? pusi jike we!Hiyo hoja yako mfu kabisa.
kwa hiyo itakua mulemule.....!watatengeneza viroba vya Lita moja sasa
Ndio mkulupuko huoPombe zenye
ukubwa unaokubalika ndo zipi ?
Wawawekee kwenye PET kama Azam Embe 300ml mwendo mdundoaseme amefuta aina ya kubeba hiyo pombe...sasa watakuja chupa au makopo