Waziri Lukuvi kwa hili umekengeuka!

Ukisema ivo nenda kamtoe rais wako pale maana chato na ikulu WAP na WAP..... binadam buana..hapa nabshana na MTU inawezkana hajui hta master plan ni nni...
Haiondoi ukweli kuwa "wataalam" wetu wa mipango miji hawajafannya kazi nzuri so far, wanavyokaa aquatter area ndivyo wanavyo panga.
Mfano mbaya ni Sinza squatter area, just upgraded.
 
Huu mpango wa kuleta wataalamu wa singapole aliuleta Anna Tibaijuka Lukuvi ameukuta tu wizarani, tatizo sio wataalamu wa ardhi au mipango miji bali ni wanasiasa wetu hasa madiwani ndio wanachangia kuharibu mipango ya wataalamu kwani wao ndio watoaji vibali vya kujenga, wauzaji wa maeneo ya wazi bila kusahau walivyoiharibu kariakoo ikajengwa kiholela
 
Wataalam wetu wa Ardhi ni bogus kabisa.
Nipe jina la mmoja tu aliyefanya vizuri.
HAKUNA.

Baada ya uhuru, wajerumani waliipanga vizuri maeneo ya Temeke, Wailes, Magomeni, sehemu za Kinondoni.
Barabara pana na nyumba zinna nafasi.

Baadaye "wataalam wetu" waliipanga Sinza na Mwenge, Mbezi Beach na tunaona uozo, hata gari mbili hazipishani.

Mtu katoka kijijinni hana maisha ya uzoefu wa miji, atakupangia nini?

Tukubali ukweli, wataalam wa upimaji ardhi hatuna.
Kweli kabisa
 
Kusema kweli waafrika bado tuna inferiority complex na sidhan kma itatoka....sielewi kwanni serikali yenyr weledi haijui kutumia rasilimali zake... Sielew kama wizara ya Ardhi inatambua na kuhonor rasilimali watu wake katika fani zinazotambulika za Ardhi..najiuliza hawa watu kazi yao no kukata viwanja tuh ?...Ntazngumza kuelzea jnsi ninavyohisi siasa inaharibu professional zetu...wizara ya Ardhi nadhan imegubikwa na siasa said katika utendaji...Kwasababu kuna maprofesa ambao ni watendaj wazuri nahsi wanazibwa mdomo na siasa katka wzara hii...Leo waziri anasema et wamehire kampuni ipige aerial photograph kwa dola mil3 .. Hapa nadhan kuna tatzo...wataalam wamrjaa ardh chungu nzma ... Hii kweli Tanzagiza
Msilaumu wanasiasa wskati mmeshindwa ku deliver.
 
Kama mkuu wa nchi mwenyewe,kuna aliyepotea kwa kuhoji,PhD yake,na mkuu wa mkoa vyeti ni utauta mtupu,na ccm imeharibu kabisa elimu ya taifa hili,unategemea wamuamini msomi yeyote,wakati na wao walisoma,vyuo vya hapahapa kimchoromchro na kupewa vyeti vilivyochuja ?,hawaoni sababu ya kuamini wengine,wakidhani,lililowezekana kwao limewezekana na kwa wengine ! Ndo sababu amekataza uhakiki usiguse wateule wake na wanasiana, manake mabashite huko ndiko walikojazana.wao wakilala,wenzao walikua wanabukua.sasa wameona wawakomeshe kwakutumia utaalamu wa nchi zingine.
 
Mkuu naona umeamua ' kujilipua ' kabisa na ' kufunguka ' yako ya moyoni ila na Wewe angalia tu tusije kukuokota Kisiwa cha Mbudya au Ununio mkabala na Mahaba beach.
 
Sio dodoma tu...ARUSHA NA MWANZA MASTER PLANS ZIMEFANYWA NA WASINGAPORE
 
Mkuu hakuna jinsi.manake tukiwaeleza kiutu uzima wanajidai hawaelewi.sasa tunaongea tu kwa lugha nyepesi,ili kama kubadika basi wafanye hivyo. tunaacha usia kabisa.wakituteka,basi usia utasomwa UN,ili mataifa yajue,zombie hawakuishia Zanzibar bado wapo kazini hata bara,wakishirikiana na kikosi cha bashite.tuombeane sisi kwa sisi kwa kua maaskofu ndo hao na wengine wanasema wanamuelewa sasa tusipojitolea kujitetea,nani atatutetea ?
 
Sina haja ya kuwa na degree kujua kuwa Sinza iliyopangwa na ninyi ni just an upgraded squatter.
Mkuu nakubaliana nawe 100% huhitaji degree kwa sinza. Hawa wataalamu wetu hata sijui hawajui hata Historia ya miji hii wanapo panga miradi ya ujenzi! Mfano Pale kawe club NHC eti wanajenga Maghorofa kwenye eneo ambalo kuna mkondo wa maji kwenda Baharini! ipo siku watajuta. Ndiyo maana flyovers na interchange za Barabarani mpaka waje wajapani au wachina!!
 
Mkuu
Kama ni kweli..basi itaonesha wajuzi wa ndani hawathaminiwi
sio hawathaminiwi chukua mfano umri wa cda na walicho kifanya hata wewe ungeona bora hawa wa nje waifanye hiyo kazi kwa kipindi kifupi ifikie mwisho.kitu kimezeeka lakini kina tenda ya utotoni ya kucheza na wanasesere
 
Nadhani tuseme wataalam wapo lakini wanazidiana utaalam wenyewe. Hao wa mbele wana exposure kubwa kuliko hawa wa kwetu. Chukulia mfano mtu anatoka chuo cha ardhi anaajiriwa halmashauri ya mojawapo, exposure yake ni Dar ambayo imejaa squatter. What do you expect? Ni vyema serikali inapowachukua hao wa nje, wataalam wetu wawe sehemu ya kazi zinazofanywa ili nao wagain chochote na ni vyema pia wawe wanapewa trips kujifunza kwa wengine.
 
Sawa kabisa na ndicho nilichosema!
Mtu anaajiriwa Halmashauri, sehemu yenye uozo wa hali ya juu, halafu anakaa squatter.
Atapanga nini?

Ati viwanja vya 15mx25m, vingine 12mx20m!
Squatter zote hizo.

Lakini na sisi we are expecting too much, kijana katika kijijini, kasoma hadi ardhi, na hiyo ndo total exposure yake.

Sad!
Wapelekwe hata Far East kujifunza na kutekeleza mipangomiji safi.
 
CCM CCM CCM shika hatamu. Ongoza ujamaa, linda mapinduzi, oh oh CCM shika hatamu!!! WHAT DO YOU EXPECT? MAKOROKOCHO. 50+ YRS yet you have nothing to boast about. SHAME KAZI KUIBA KURA TU NDICHO MNACHOJUA - FUCKING IDIOTS
 
hebu tusubiri hao wataalam watafanya nini maana cda pale dom wameshindwa kufanya kazi kabisa wamebaki kuvunjia watu hovyo na kupiga hela tu
 
Back
Top Bottom