Wazazi wenye watoto wadogo tukutane hapa kujifunza nyimbo za watoto

Yaiyani ya iyani kitunguu na ubani iiii
Nyoka kalala njiani tumkanyage kichwani iiiii
Tuwapishe wenda kuni na wendao kisimani iiii
Ooooooo, ooooooo,
Usilie usilieeee utaniliza na mie
Machozi yako yawekeee nikifa unililieee.
Hebu nyamala mwanangu maaafunda babiyo Kenda mjini kaaafungwa
Kaibili pishi mbl za mpunga,
Ooooooo, ooooooo
 
Back
Top Bottom