Wazazi Wa Kiume acheni haya..

DMCT

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
2,275
5,931
Habirin Wakuu..
Naandika Uzi Huu Kutokana na tabia ambazo nimeziona kwa wazazi wa kiume wengi hasa huku mikoani.. kiufupi nimekuwa nikikereka sana mambo hayo ni kama
;
1 mzazi kuwa mkali kupitiliza mpaka akisafiri watoto wanafrahi akirudi nyumbani watoto wanajificha chini ya meza au chumbani
2 Baba kumkaripia mama mpaka anaonekana inferior mbele ya watoto wake plus na mabuti juu
3 Baba anaondnka nyumbani bila kuacha kitu(pesa ya matumizi) wakati hajajenga uchumi wa familia mwenyewe hivyo kupelekea mama kuteseka sana
4 kutokuwatmzia watoto mahitaji ya shule na mengine muhimu kama mavazi hivyo kufanya watoto kuishi miserable life
Nashaur Vijana tujipange
N:B Hii Situation ni common vjijini naomba tujaribu kuwashauri. asanten.
 
Jiandae kujibu tuhuma za kuwahc vibaya wazazi wa vijijini Kwan mjin hawafanyi hivyo au utafiti wako umeegemea zaidi vijijin
 
Hajakosea sana jamani, ila wazazi wenye tabia hizo hata mijini wapo na wengine ni wasomi na pesa wanazo! Ila hawajui familia zao zinaishije
 
Haya yanatokeaga mwanaume aliyeanzia mapenzi ukubwa akipata mchepuko kwenye ndoA yake...na hamna kitu kibaya km kumdharau mkeo aliyekuzalia watoto tena kwa upuuzi wako mwenywe.
 
Baba angu popote ulipo bado nakupenda licha ya yote ulotupitisha, najua hazikuwa akili zako. Ukisoma hapa jua ni mimi mwanao, ndio mwanao wa mwisho. Nilishakusamehe siku nyingii saana
 
Una ujumbe mzuri ila mwandiko wako haueleweki...
Edit uzi wako mkuu.
 
Waambie wa mijini ndo kuna watoto hata wa mitaani, vijijini ukaona wapi hiyo?. Kwa huo utafiti, chuo ungekula DISCO
 
Baba angu popote ulipo bado nakupenda licha ya yote ulotupitisha, najua hazikuwa akili zako. Ukisoma hapa jua ni mimi mwanao, ndio mwanao wa mwisho. Nilishakusamehe siku nyingii saana
Kwanini usimpigie simu au kumwandikia barua kama unamaanisha mkuu? Sorry kwa kuingilia maisha yako ya kibinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…