Wazazi muwe makini sana na hizi cartoon kwa watoto

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
5,871
13,688
Je, umeshawahi japo siku moja moja kukaa na wanao na kuangalia cartoon na kuona yaliyomo?

Kuna jamaa mmoja wa karibu sana aliniambia siku moja amekaa home amechill na wanae wanaangalia katuni, akaona matukio ya vikatuni vya kiume vinakisiana, kwakweli anasema alishtuka sana kuona maudhui hayo.

Hivyo alichofanya ni kuifungia ile channel na watoto kukosa access ya kuiona tena, huyo ni mzazi ambaye alibahatika kuyaona hayo, je vipi wewe katika familia yako pako salama?

Ndugu zangu hawa wapuuzi wapo katika kampeni kali sana ya kuhakikisha vizazi vyetu vinapotea,na namna nzuri ya kuingiza huu upuuzi ni kuwatayarisha watoto wetu wajifunze haya mambo mapema na kuyaona ya kawaida tu.

Kwa hiyo tuwe makini sana kuhakikisha maudhui ambayo wenetu wanayaangali katika television yawe ni mazuri ili kulinda vizazi vyetu.

Vile vile haya mambo ya music kuna video za utupu sana zinaonyweshwa,,mzazi siku hizi kudhibiti channel ipi iangaliwe na ipi isiangaliwe ni rahisi sana,nenda kwenye dekoda yako piga pini channel husika linda kizazi chako.

Gracias

Ni hayo tu!
 
Umenena vyema sana mkuu , ila kuna namna hili jambo huwa linachochewewa pia na nguvu kubwa tunayoitumia kupinga na aina ya njia tunayotumia kukabiliana nalo .
 
Je, umeshawahi japo siku moja moja kukaa na wanao na kuangalia cartoon na kuona yaliyomo?

Kuna jamaa mmoja wa karibu sana aliniambia siku moja amekaa home amechill na wanae wanaangalia katuni, akaona matukio ya vikatuni vya kiume vinakisiana, kwakweli anasema alishtuka sana kuona maudhui hayo.

Hivyo alichofanya ni kuifungia ile channel na watoto kukosa access ya kuiona tena, huyo ni mzazi ambaye alibahatika kuyaona hayo, je vipi wewe katika familia yako pako salama?

Ndugu zangu hawa wapuuzi wapo katika kampeni kali sana ya kuhakikisha vizazi vyetu vinapotea,na namna nzuri ya kuingiza huu upuuzi ni kuwatayarisha watoto wetu wajifunze haya mambo mapema na kuyaona ya kawaida tu.

Kwa hiyo tuwe makini sana kuhakikisha maudhui ambayo wenetu wanayaangali katika television yawe ni mazuri ili kulinda vizazi vyetu.

Vile vile haya mambo ya music kuna video za utupu sana zinaonyweshwa,,mzazi siku hizi kudhibiti channel ipi iangaliwe na ipi isiangaliwe ni rahisi sana,nenda kwenye dekoda yako piga pini channel husika linda kizazi chako.

Gracias

Ni hayo tu!
seen.
 
Back
Top Bottom