Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mzuka plus Midadi nihatari kwa Watanzania!
!
Usishangae sana mkuu. Hii selikali ni ya viwanda.
Kuchoma mishikaki ndo kiwanda gani sasa!
!
Usishangae sana mkuu. Hii selikali ni ya viwanda.
UKA.WA ni shida kwelikweli,!
!
Usishangae sana mkuu. Hii selikali ni ya viwanda.
Kweli,mimi mwenye sipendi kula kitu inayoitwa nyama kwa eneo lolote ambapo uandaji wake sina taarifa nao.Ukiwauliza vibali wana Godfather's wao pale uhamiaji wewe mwenyeji ndiyo unaweza kuwekwa ndani kwa kumsumbua foreigner. Hii mishikaki yao siili hata kama nina njaa ya kufa, mbwa na paka ni sehemu ya kitweo kwao hawa jamaa.
Tuliwambia Maigizo siyo mizuriUKA.WA ni shida kwelikweli,
kwa sasa mmekosa hoja sasa mnaropoka tu!
Je nimishikaki tu inachomwa shirikisha ubongombona nyinyi mnaenda kwao Kubeba box, why wao wakija huku Kubeba box mnalalamika?
Tembea utaonaHii picha ni ya hapa Tz? Imepigwa sehemu gani? Kama kweli huu mgahawa upo hapa mjue pia kuna baadhi ta watumishi wa serikali wakijaribu kupambana kuondoa uwekezaji wa hovyo kama huu wanasakamwa na wanasiasa..ooh huyu naakwamisha juhudi ooh huyu anawasumbua hawa ni marafiki zetu..kwao huwezi kuwekeza hovyo tu wakakubali...
Shida yenu wawekezaji wa Kitanzania ni wavivu na mnajua majungu tu!UWEKEZAJI wa Wachina nchini Tanzania umelalamikiwa na wananchi kwa watu hao kufanya biashara za rejareja kama vile kuchoma mishikaki, kuuza nguo, simu na vitu vingine mitaani, jambo ambalo linawanyima fursa wenyeji wasio na uwezo wa biashara kubwa.
Tutawafukuzaje ilehali ndio watoaji wa misaada Tanzania kwa sasaUchumi wa viwanda tuwakaribishi wawekezaji kutoka China.JPM fukuza wageni waganga njaa wote.Tupate wawekezaji makini sio hawa wachuuzi
Nisawa kabisa maana hivyo ndio viwanda vyetu tulivyo ambiwa Tanzania yaviwandaShida yenu wawekezaji wa Kitanzania ni wavivu na mnajua majungu tu!
Juzi mmelia ktk sukari, raisi akaamulu mupewe nafasi na wale wa nje hadi pale itakapobidi! Just 4 weeks mnadai kupandisha gharama za sukari kwa kuwa uzalishaji hautoshi na gharama za uzalishaji zimepanda! Huu ni uhuni, kama unachoma mishikaki fresh poa shindana sokoni kama huwezi kaa chonzo! Hata soko lenyewe kwa watanzania halipo fair, iweje Bakhresa auze chapati, naye asimamishwe kwa kuwa hakuna uwiano ktk ushindani wa kibiashara!