Wawakilishi wa CCM Pemba matatani

Kutegemea maamuzi ya mtu mmoja ni tatizo... Maalim Seif ndio Mungu wa Wapemba haya sasa ccm mmewaachia majimbo ndoto za kula kiyoyozi cha uwakilishi zimeota mbawa na hao wawakilishi wa ccm hamuwafanyi lolote
 
Halafu kesho Na keshokutwa hao wanaotoa maneno ya vitisho wakitaitiwa Na vyombo vya ulinzi Na usalama mnaanza kulalamika wanaonewa sio???
Nyie akili zenu ziko kwenye makalio kweli!!
Ni kweli akili za watu wengine nikiwemo mimi zipo kwenye makalio nakukaribisha ukalie hayo makalio kama utaweza kuyakalia ,mmnh !
Watu watalalamika wanaonewa kwa sababu vyombo hivyo vinafanya kazi kwa kubagua,kuchagua kama wakiona limesemwa na ccm basi wanakauka na huwaoni kuchukua hatua zozote hata ukipeleka malalamiko mndio ikasemwa wanaonea baazi ya watu tu ,hawatendi haki ndio nikiona anakumtwa basi ni radhi na nafurahia sana tu.
 
Kutegemea maamuzi ya mtu mmoja ni tatizo... Maalim Seif ndio Mungu wa Wapemba haya sasa ccm mmewaachia majimbo ndoto za kula kiyoyozi cha uwakilishi zimeota mbawa na hao wawakilishi wa ccm hamuwafanyi lolote
hayo umeyasema wewe WaPemba ni Waislamu hawaabudu kiumbe alie kama wao labda ni huko kwenu ndio mnaoabudu bindamu mwenzenu ,huku hakuna wala haitakuwepo tabia hiyo ,Wapemba ni wananchi wazaalendo wenye msimamo usio yumba wala kuyumbishwa ,kwani kwa utawala huu wa kijeshi ndio mwisho wa maisha ? zinduka usidumazwe ukadumizika na kasumba za kikolono mambo leo.
 
kauli hizi si za kushabikia ht kidogo.CUF kuna sehemu wamekosea,na hii itaendelea kuwagalimu.
yaani ccm kila wanachofanya kwa wadanganyika ni sahihi,yaani wewe unaona Cuf kutetea katiba ya Zanzibar wamefanya kosa litakalo wagharimu?.ujinga huu ndo unawafanya watu wengine wasindwe kujitabulisha kama watanzania wanapoenda nchi za watu.
 
Kutegemea maamuzi ya mtu mmoja ni tatizo... Maalim Seif ndio Mungu wa Wapemba haya sasa ccm mmewaachia majimbo ndoto za kula kiyoyozi cha uwakilishi zimeota mbawa na hao wawakilishi wa ccm hamuwafanyi lolote
Hizi ni akili mbovu kuamini kuwa ccm ni kila kitu,jeshi ni kila kitu
 
Halafu kesho Na keshokutwa hao wanaotoa maneno ya vitisho wakitaitiwa Na vyombo vya ulinzi Na usalama mnaanza kulalamika wanaonewa sio???
Nyie akili zenu ziko kwenye makalio kweli!!
unataka watu waishi kwa hofu kisa vyombo vya dola? Endeleeni kuvitumia hivyo vyombo dola mtaona matunda yake
 
Hawa wazanzibar hawakujifunza Burundi, uchaguzi uliisha lakini mpaka leo hakukaliki wanatawala wakiwa na walinzi kila upande, uhuru wao wameuuza kwa ulafi wa madaraka, watavuna wanachopanda waliowafikisha hapo wako bara nwa ulinzi wa uhakika mpaka kufa kwao. Akili ni nywele.
 
Kwanza mmeze haya majipu mlotumbulia mdomoni yakiisha ndo mfungue midomo. Sio kila alienyamaza ni bubu.
 
Tumewapiga kwenye mitaa...!

Tumewapiga kwenye ubungee...!

Tumewachapa na kule pembaaa....CCM mbele kwa mbele!

Na mvimbe mpasuke......mmesusia wenyewe....!
...very poor,mnajua mipasho tu,naona siku hizi hata 'msukuma' nae ameshaanza kuijua mipasho.!!
 
Wapemba walikua zamani bana...hawa wacsiku hizi hakuna kitu kabisaa. Askari wanawachezea na kiwachapa watakavyo.
Wangekuwa wale wapemba wa zamani, sasa hivi kila askari na Jecha wao wangekuwa wameshakabidhiwa kwa 'bebi' Popobawa.
Lakini wa siku hizi kelele nyiiingii mara wachome udi mitaani mara watafune vitunguu swaumu, yaani ili mradi ni vituko tupu. Wakipigwa singi kidogo na mapolisi wanawahi kuji selfie na kutupia tweeter
 
Wewe Mwiba I swear ni swala la muda tu. Lakini utadakwa kwa uchochezi
Kwa nini wasitangulie kudakwa wale vijana wa UVCCM ambao walipita na mabango yao mchana kweupe kwenye sherehe za mapinduzi za za mwaka huu kwenye jukwaa kuu walilokaa waheshimiwa akina Dr Shein ambalo lilisomeka CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI KWA aJILI YA WAAFRIKA PEKEE?

Lililo baya wakati bango hilo la uchochezi wa kiwango cha juu kabisa likipita mbele ya viongozi waandamizi wa CCM, walikuwa wakishangilia kwa kupiga makofi huku wakikenua meno yao!!!
 
Back
Top Bottom