I just feel sorry for Dr. Msemo, ORCI has lost a credible ED whose passion for his work and ORCI patients were inseparable, the guy was a hard worker, tangu amekaimu mpk sasa ORCI imekuwa na progress nzuri sana, tatizo kubwa ni Serikali na bajeti yake hafifu, time will tell kuwa hizi measures zenu za kuchochea watendaji na raia huku nyie mkijifanya hamuhusiki ziki back fire.
Kama ulichoongea ni kweli, basi tumpe pole huyo ED. Ila kitakachotokea ni kuwa akiteuliwa mwingine aweza kupata bajeti nzuri na hivyo huyo wa zamani atakuwa proved kashindwa kazi!
Kuna mambo mengi yanatakiwa yafanyiwe overhaul ili twende sawa kama Taifa!