Mkuu una elimu gani??
Waziri yuko sahihi 100%, kutokana na malalamiko yanayotolewa na wagonjwa kuwa mkuu anataka uwende hospital kwake ndo utapata
huduma nzuri, hafu we umekaa nyuma ya keyboard unatetea upumbavu kisa ulitaka chadema wapewe nchi, uchaguzi ushaisha, wote
tutetee maslai ya watanzania. Kiukweli huwezi kuwatumikia mabwana wawili
Nitolee UNYANG'AU wako hapa. Mtanyooka tu.
Kufanya biashara inayohusiana na kazi uliyoajiriwa nayo(shughui za mwajiri wako) ni jambo linalopunguza ufanisi na ubunifu katika kazi uliyoajiriwa nayo.Kufanya biashara ya hospitali mf,halafu wewe ni mwajiriwa wa hospitali ya umma ni makosa lakini kama utafanya biashara ya nguo si kosawhat is the effect hata ukijeleza una majumba 75? Au unaendesha nar? Au una semi trela? Ukiona hivyo ujue wivu umeanza kuwasakama. Kama sheria inasema wafanyakazi wa Umma wasifanye biashara iwekwe wazi ili waweze kuamua kuendelea kufanya kazi au kusepa.
Kusimamishwa ni hatua nzuri ya kiungwana ikishathibitika kuna shida dawa si kusimamishwa tu bali kufukuzwa kazi.Hii nchi siyo ya kufanyia majaribio ya uzembe uzembeThanks sana mkuu kwa kuhoji,
KUna namna ya kumanage hii issue; I think sio vibaya mtu kuwekeza kwa kutumia taaluma au kipaji chake, ila declaration ya hiyo investment ni muhimu na pia kujitahidi kuonyesha kwamba hakuna conflict of interest... Kingine kinachonitisha kidogo ni jinsi ilivyokua rahisi kusimamisha watu kabla ya kujiridhisha kwamba kuna shida
I cant wait kuona tunafika wapi na hii issue kwasababu naona kama inakua mismanaged
Ilikuwa ni awamu ya Mhe Rais Mstaafu Mzee Ally Hassan Mwinyi. Nia ilikuwa nzuri lakini Daktari kuacha kumtibia Mtu kwenye hospital ya serikali na kumrufaa kwenye hospital yake ni mgongano wa Maslahi. CT Scan machine kukosekana Mhimbili halafu Mtaalam huyo wa Mhimbili kuwa na yake binafsi inayotibia wagonjwa wa Mhimbili pia inaleta maswali mengi. Hivyo kunahitajika busara ya namna ya kuyafanya kazi bila bughudha.Nakumbuka ni Raisi Mkapa aliyeruhusu watu waanzishe biashara zao hizo baada ya kuona serikali haiwezi kuwalipa lakini msimamizi lazima asiwe mfanyakazi wa serikali ndipo baadhi ya madaktari wakaondoka kwa mfano Tumaini hospital ni hospitali ya madaktari wazalendo ambao wamekataa kukimbia nchi ili wasaidie wananchi wao hivi Magufuli na timu yake ya mawaziri waliochanganyikiwa wanadhani wanaweza kuendesha nchi bila watumishi wa umma huu ni upuuzi ulio pitiliza
I believe your parents are among those statistics. I feel sorry for your wife and kids, God knows being around you ain't easy.I feel sorry for your illiterate ignorate wide a$$
Tanzania has a huge burden of people with low IQ and I pray that magufuli finds good jobs for you... probably kuwa viranja wa usafi na ulinzi jamii
Ilikuwa ni awamu ya Mhe Rais Mstaafu Mzee Ally Hassan Mwinyi. Nia ilikuwa nzuri lakini Daktari kuacha kumtibia Mtu kwenye hospital ya serikali na kumrufaa kwenye hospital yake ni mgongano wa Maslahi. CT Scan machine kukosekana Mhimbili halafu Mtaalam huyo wa Mhimbili kuwa na yake binafsi inayotibia wagonjwa wa Mhimbili pia inaleta maswali mengi. Hivyo kunahitajika busara ya namna ya kuyafanya kazi bila bughudha.
as much as tunataka accountability basi hili jambo la kujieleza mali ulizonazo liwe universal, watumishi wote wa umma wanatakiwa wajieleze mali walizo nazo!!!