GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,913
Una uhakika gani kuwa aliwauliza watu ws system?kidonge cha gentamycine, hujamsoma vizuri huyo dada mie nimemuelewa kuwa na hata ukisoma maelezo yake kasema kabla hajarusha hizo pics alijaribu kuuliza watu wake wa karibu ambao wapo humo humo kwenye usalama na wakaproove kuwa ni yeye, ndio kuzirusha, soma vizuri maandishi yake, na hajauliza 1, na yeye kabla ya kurusha aliuliza baadhi ya watu wa hicho kitengo ndio akapewa data zote jamaa from point a mpaka b, kwa mie naona hajakurupuka, wewe ndio unataka kulisha watu tango mwitu
Aliweka wazi mawasiliano kati yao.?
Yule dada anajua kucheza na akili za watz