Watuhumiwa: Tulimuua askari Kinyongoli kwa sababu za kifamilia

sijui aliwakosea nini hata akastahili kifo
iwe funzo kwa wanaume wote wenye kunyanyasa wanawake kihisia.
We punguani kabisa... Hapo kuna fundisho gani saa zaidi ya mauaji, kama alinyanyaswa hiyo ndiyo adhabu aliyostahili? We mjinga utaelimika baadae
 
Wamekiri kwamba wameua katika mahojiano huko Police.. Lakini wanapoenda mahakamani wanaweza kukataa na kusema confession ilikuwa baada ya kuteswa.. Na mahakama ikakubali na kutupilia mbali maelezo yao Police.. La kujiuliza Police wetu wana ushahidi wa kutosha ili mahakama iweze kuwatia hatiani hawa watuhumiwa wa mauaji..? Wamepata silaha iliyotumika na kama ndio ina-match na risasi zilizokutwa kwenye crime scene..? Shaka yangu kubwa ni huko maana kesi nyingi watuhumiwa wa ujambazi wanashinda kutokana mapungufu mengi ya waendesha mashtaka wetu..
 
Kasi hiyo yauchunguzi iwe nikwa raia wote isiishie kwa Kinyogoli tu kwasababu alikuwa askari mwenzenu. Wapo watanzania wengi tu wamepotezewa maisha nawatu wasiojulikana mpaka leo hata nini kinaendelea juu ya vifo vyao hakuna ajuaye. Kuanzia vifo vya ndg zetu albino, kamanda Mawazo, nawengine wengi.

Hebu jeshi letu jisafisheni kwa kufanya uchunguzi ili familia na jamii kwa ujumla zitendewe haki kama mlivofanya kwa marehemu Kinyogoli.
Ndugu yangu halitawezekana, wako serious inapotokea kifo cha askari tu
 
Nikweli mkuu kwasisi raia utaambiwa uchunguzi bado unaendelea hata miaka kenda. Ila kwa mwenzao hatawiki kubwa tayari intelijensia imefanyakazi kama inavofanyakazi kwenye maandamano na mikutano ya vyama pinzani.
 
WANAWAKE WABAYA SANA ANAMUUA MUMEWE KISA MALI ONA SASA ANAENDA JELA NA WAUWAJI ALIOWATUMA
Katika utawala wa kisheria, si vyema kutoa hukumu kwa mtuhumiwa, hadi uchunguzi ukamilike na akutwe na hatia bila shaka. Kukurupukia hukumu ndio huko tunakokukosoa
 
Bora umewafumbua wengi akili hapa maana wengi wanahisi kauli ya polis ndio hukumu kwa hao jamaa. Polis wanashindwa kesi nyingi mahakamani kwa kukosa ushahidi.
Wamekiri kwamba wameua katika mahojiano huko Police.. Lakini wanapoenda mahakamani wanaweza kukataa na kusema confession ilikuwa baada ya kuteswa.. Na mahakama ikakubali na kutupilia mbali maelezo yao Police.. La kujiuliza Police wetu wana ushahidi wa kutosha ili mahakama iweze kuwatia hatiani hawa watuhumiwa wa mauaji..? Wamepata silaha iliyotumika na kama ndio ina-match na risasi zilizokutwa kwenye crime scene..? Shaka yangu kubwa ni huko maana kesi nyingi watuhumiwa wa ujambazi wanashinda kutokana mapungufu mengi ya waendesha mashtaka wetu..
 
Hongera sana kwa jeshi la police!!!!!

Infantry Soldier subiri kabla ya kutoa Hongera.
Kawaida Ktk nchi yeyeto Dunia police akiuliwa kazini watuhumiwa wanakamatwa haraka sana ili kuonyesha wanaijuwa Kazi Na wanatumia jeshi zima kuangalia mafaili ya wahalifu na KUWABAMBIKIA Kesi ambazo sio zao.

Kwanza Mimi napinga sana Police wakimkamata mtuhumiwa wanaanza kupiga bila sababu Hii Ni kinyume Cha Sheria Na katiba ya nchi.

Turudi Kwa Marehemu ofisa wa police.Kutokana Na habari ambazo siwezi kuzithibitisha.
Huyo police Pamoja Na hicho kitua Ni MATAPELI wa Hali ya juu. Watu wengi wamebambikwa kesi sio zao,Wamedhulumiwa mali zao Na hao maofisa,Wanawaweka rumande watuhumiwa zaidi ya masaa 48 mpaka siku 7 bila kufungulia Kesi. Rushwa rushwa rushwa hicho kitua.Wananchi wanashindwa kuvumilia maana umeisha haribiwa maisha yako Au yandugu Au ya rafiki yako Kwa hivyo watu wana chukua sheria mkononi.
Siamini Huyo mke mkubwa ndio chanzo Ni sababu tu kutoa kituo chao kisimulikwe.
Hapa kazi kimulikwe.
 
mkuu, kama hali kweli ipo hivi basi ni hatari sana. kweli there is no justice in africa, only money talks!!!!!!
 
Polisi wetu wanawajua wahalifu sana, tatizo wahalifu wengi ni maswaiba, ndio maana haitafaa kama Rais atamteua Adadi Rajab kwenye nafasi ya Kitwanga.
Kulikuwa na tetesi wakati wake kuwa maafisa wengi wa polisi walikuwa kwenye payrolls za mitandao ya uhalifu.
Mtu akikamatwa tuu inapigwa simu juu na inakuwa historia
 
Back
Top Bottom