Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,019
- 1,671
Huu ndio ukweli japo ni mchungu. Kipindi cha nyuma watu wa Pwani walikua wanasifika kwa huruma na ustaarabu, watu wa Pwani walikua ni wakarimu hata kwa mtu wasiemjua.
We ukienda mikoa ya Pwani hata uwe huna kitu utakula vizuri na utalala vizuri. Nakumbuka nikiwa mdogo tulikua tunaishi na watu ambao hatuwajui sababu tu wamekuja kutafuta maisha.
Katika nyumba za wenyeji wa mikoa ya Pwani ulikua unakuta nje kumewekwa ndoo ya maji ya kunywa na kikombe ili mpita njia ukiwa na kiu unywe.
Ilikua ikifika ile miezi ya kufunga watu walikua wanafuturu nje ili hata mpita njia akifika kama muda ukifika nae apate futari na ulikua huulizwi dini yako ni ipi.
Zamani kwenye mikoa ya Pwani ilikua ni nadra kukuta matukio ya mauwaji, mfano kugombania mali n.k. Hata mambo ya utajiri wa kishirikina wa kutoana kafara ulikua ni siri sana na sio kwa wenyeji.
Ujio wa watu wa bara kuja mikoa ya Pwani ndio umeleta mambo mengi ya kikatili, utajiri wa kishirikina umekua si wakujificha tena, mpaka kwa wazawa wa mikoa ya Pwani wamekua sio waoga kutoa ndugu zao kafara.
Kwa kifupi ujio wa watu wa bara kwenye mikoa ya Pwani umeharibu ustaarabu wa watu wa Pwani.
NB: Mada haiko kidini kama una agenda zako za kidini hapa sio mahala pake.