watu wa Dar na zawadi za mikate.

pweza tunawasikia tu kwenye mitandao ya kijamii. tuleteeni hao(tuwaonje tu si kwaajili ya matumizi kama yenu). mikate hata huku ipo. leteni hata vibua, sijui jodari au dagaa mchele.

mnaongoza kwa kuleta zawadi mbaya. watu wa Mwanza huleta sato, Mbeya mchele na maparachichi hata Zanzibar huleta mashokishoki. kwanini mnabeba kitu ambacho kipo uendako?:):)
Kwetu hakuna mikate ndio maana huwa tunawabebeaga
 
Back
Top Bottom