Hahhaa, hii nayo inawalegezaga sana, wanakuwa dehydrated sana! mwanamke legelege au wale wa prime wanababaikaga sana na kujawa hofu. Huwa wanapoteza sana electrolytes ikizidi

Mke wa prince William, Kate Middleton inamsumbua sana hii mpaka analazwa, Mara nyingi naturally hupotea baada ya miezi mitatu lakini kwa wachache ni mpaka wanajifungua.