chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,400
- 24,974
Hahhaa, hii nayo inawalegezaga sana, wanakuwa dehydrated sana! mwanamke legelege au wale wa prime wanababaikaga sana na kujawa hofu. Huwa wanapoteza sana electrolytes ikizidimkuu hii ilikata baada miezi mitatu lakini deko tu.