Watoto wa Will Smith na Jada

Willy huwa hata mimi simuelewi....huwa anambusu hata yule mtoto wake wa kiume mdomoni.
 
umeshasema watoto sasa iweje uanze kuwaponda kuwa hawajielewi zaa wako wanaojielewa acha kujifanya mjuaji wewe dogo
 
Mara chache tu online natazama tazama
kuna kitu sijakielewa Jada na Will
mara nilisikia ni open relationship mara hivi

halafu inaonekana kama yule mtoto wa kwanza ambae hakuzaa na Jada yuko okay tu
ila hawa ndo 'too spoiled'
mi nimependa hapo , jaden's prmary activity these days seems to be trying to be the black boy George minus talent, kweli minus talent maana boy George ile ngoma yake ya chameleon alitisha saana
 

Tetesi tu zote hizo, Chief. Mke wa kwanza wa Will Smith alishawahi kukanusha kuwa chanzo cha kuachana kwao ni hizo tuhuma.

Benny na Will walifanya kazi pamoja kwenye Fresh Prince of Bel Air sitcom. Hiyo picha ya pamoja haimaanishi unavyojaribu ku-convince.

Btw, the brats are headed downhill. But they're their parents' problems.
 
Nawaonea huruma Will na Jada, mwana umleavyo ndivyo akuavyo hayo ni Zaidi ya mabomu siku mmoja akija jitangaza ni shoga au kutumia madawa ndo watazimia. Na ukichangia sharia zao zinavyolinda watoto watachanganyikiwa zaidi. Mbona Yule Mkubwa yuko poa, nadhani tatizo ni wazazi.
 
Ni tetesi mkuu, ila tetesi zipo kuwa hollywood unaweza kulazimika kulala na producer ili ung'ae.....na nafahamu kwamba unajua wanao pull strings hollywood wengi wao ni mashoga...sometimes usipo mlala producer shoga hupati movie important role...vile vile upande wa wanawake pia.
Sidhani kama wengi wetu wanamjua Medina ila picha nimeweka wamtambue....zipo picha zingine ambazo ukitazama waweza ona tu action speaks louder than words sir....by common sense... na sio kwa majungu...kwa wenzetu ushoga sio taboo...wanaona normal tu...
Kwetu sisi wabongo nijambo la kujifunza kwamba kuna mambo ukifanya yanaweza ku affect watoto pia...hapa town tunashuhudia impact ya open relationships zinavyo affect watoto kinidhamu na maadili....mabaikoko haya unadhani source yake ni nini....
..still naamini msemo wa mjini kwamba ukifanyia watu huu mchezo kuna possibility hii mambo kujirudia kwa watoto...
ni my observation tu
 
watu bhana, mnawaponda Willy na Jada wanaoishi fabulous life watoto wao wameharibika, wakati nyinyi wenyewe watoto wenu wanatumwa wakawashe sigara na masela wa kijiweni. Hizi internet zinafanya kila mtu ajione judge wa maisha ya wengine. Smfh!
 

Yeah it's true, Hollywood is shady, pia industries nyingine kibao tu. But mind you, Will was already the sh!t by the time Fresh Prince inaanza. It was created around him. Hollywood is tight for nobodies.
 

Si juzi kati tu hapa huyu jamaa alimtembezea kichapo shoga mmoja baada ya kubusiwa...
...imekuwaje tena
 
Sio tatizo letu.
Hao watoto wako kwenye umri ule "teenagers "
Wanakua.

Hawajafanya kosa lolote lili kumkosea mtu yeyote yule.

Ni maisha yao. Waacheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…