Huu utata sijui ukoje kwamba 2pac alikuwa anamaliza kwa jada pinket.Willow atakua amerithi kichaa cha Tupac.
umeshasema watoto sasa iweje uanze kuwaponda kuwa hawajielewi zaa wako wanaojielewa acha kujifanya mjuaji wewe dogoBossman kumbe unasomaga NY Post?
Ila hao watoto naona hawajielewi kama vile ambavyo wazazi wao wasivyojielewa.
Uhusiano wa Will na Jada uko kidizaini dizaini....kwa hiyo mi naona kuwalaumu au kuwakosoa hao watoto si kuwatendea haki.
Huenda wamerithi hivyo vi sifa bainishi kutoka kwa wazazi wao.
umeshasema watoto sasa iweje uanze kuwaponda kuwa hawajielewi zaa wako wanaojielewa acha kujifanya mjuaji wewe dogo
asante balozi wa Zambiakmamako
mi nimependa hapo , jaden's prmary activity these days seems to be trying to be the black boy George minus talent, kweli minus talent maana boy George ile ngoma yake ya chameleon alitisha saanaMara chache tu online natazama tazama
kuna kitu sijakielewa Jada na Will
mara nilisikia ni open relationship mara hivi
halafu inaonekana kama yule mtoto wa kwanza ambae hakuzaa na Jada yuko okay tu
ila hawa ndo 'too spoiled'
black boy George minus talentmkuu mtoto wa kiume anavaa nguo za kike hadi anapata mkataba wa kutangaza nguo za wasichana
we unaona ni 'normal'?
Willow atakua amerithi kichaa cha Tupac.
Mie nilipomuona huyo mtoto wa kiume anavaa kike nikaanza kujiuliza ule msemo kwamba mwanaume ukiwa na mchezo wa kuingilia wanaume wenzio possibility hii kitu kujirudia kinyume kwa watoto wako wa kiume. Inasemwa Will Smith ana kamchezo haka mpaka ndoa yake ya kwanza ilivunjika, alikutwa akimchapa Talent manager wakina Maria Carey na Jenifer Lopez, Benny Medina.......
Haya Mambo haya.....hata Omari Kopa (RIP) wanasema kuwa baba yake alikua mchapaji sana wa watoto wa kiume zenji huko..
Huu uzungu huu!!!!!
Medina kushoto.
Ni tetesi mkuu, ila tetesi zipo kuwa hollywood unaweza kulazimika kulala na producer ili ung'ae.....na nafahamu kwamba unajua wanao pull strings hollywood wengi wao ni mashoga...sometimes usipo mlala producer shoga hupati movie important role...vile vile upande wa wanawake pia.Tetesi tu zote hizo, Chief. Mke wa kwanza wa Will Smith alishawahi kukanusha kuwa chanzo cha kuachana kwao ni hizo tuhuma.
Benny na Will walifanya kazi pamoja kwenye Fresh Prince of Bel Air sitcom. Hiyo picha ya pamoja haimaanishi unavyojaribu ku-convince.
Btw, the brats are headed downhill. But they're their parents' problems.
astarghfutulahkmamako
Ni tetesi mkuu, ila tetesi zipo kuwa hollywood unaweza kulazimika kulala na producer ili ung'ae.....na nafahamu kwamba unajua wanao pull strings hollywood wengi wao ni mashoga...sometimes usipo mlala producer shoga hupati movie important role...vile vile upande wa wanawake pia.
Sidhani kama wengi wetu wanamjua Medina ila picha nimeweka wamtambue....zipo picha zingine ambazo ukitazama waweza ona tu action speaks louder than words sir....by common sense... na sio kwa majungu...kwa wenzetu ushoga sio taboo...wanaona normal tu...
Kwetu sisi wabongo nijambo la kujifunza kwamba kuna mambo ukifanya yanaweza ku affect watoto pia...hapa town tunashuhudia impact ya open relationships zinavyo affect watoto kinidhamu na maadili....mabaikoko haya unadhani source yake ni nini....
..still naamini msemo wa mjini kwamba ukifanyia watu huu mchezo kuna possibility hii mambo kujirudia kwa watoto...
ni my observation tu
Mie nilipomuona huyo mtoto wa kiume anavaa kike nikaanza kujiuliza ule msemo kwamba mwanaume ukiwa na mchezo wa kuingilia wanaume wenzio possibility hii kitu kujirudia kinyume kwa watoto wako wa kiume. Inasemwa Will Smith ana kamchezo haka mpaka ndoa yake ya kwanza ilivunjika, alikutwa akimchapa Talent manager wakina Maria Carey na Jenifer Lopez, Benny Medina.......
Haya Mambo haya.....hata Omari Kopa (RIP) wanasema kuwa baba yake alikua mchapaji sana wa watoto wa kiume zenji huko..
Huu uzungu huu!!!!!
Medina kushoto.