mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 87,128
- 120,519
Viongozi na maeneo yao yanaongoza kwa uchafu
Kufanya usafi mpaka magufuli naye aingie mtaani nkufanya usafi na wako utawaona wanafanya usafi kinafki tu
Viongozi wetu ni blah blah hawana ubunifu....hao wanaozoa uchafu ndiyo wanachafua mazingira kbsa....