Watanzania wengi sio watanashati

ntuchake

JF-Expert Member
Apr 17, 2024
354
1,243
Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani kwake ata kioo hana hakujiangalia wakati anatoka?

Nguo utfikiri imetoka kwenye tumbo la ng'ombe! Watanzania kueni wasafi nyoosheni nguo pasi mweh mnatia aibu.

Afu tabia ya kujipulizia pafyumu zenu za mia mia muache mnatuumiza pua.
 
Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani kwake ata kioo hana hakujiangalia wakati anatoka? Nguo utfikiri imetoka kwenye tumbo la ng'ombe! Watanzania kueni wasafi nyoosheni nguo pasi mweh mnatia aibu. Afu tabia ya kujipulizia pafyumu zenu za mia mia muache mnatuumiza pua.
Hilo ni kweli mkuu, mpaka imefikia hatua ukivaa kitanashati watu wanahisi upo kikazi
 
Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani kwake ata kioo hana hakujiangalia wakati anatoka?

Nguo utfikiri imetoka kwenye tumbo la ng'ombe! Watanzania kueni wasafi nyoosheni nguo pasi mweh mnatia aibu.

Afu tabia ya kujipulizia pafyumu zenu za mia mia muache mnatuumiza pua.
Usafi ni kufua, kupiga pasi mwembwe tu.

Watu maskini ndio wenye muda wa hayo makorombwezo ya kunyoosha.

Tajiri hana hizo time
 
Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani kwake ata kioo hana hakujiangalia wakati anatoka?

Nguo utfikiri imetoka kwenye tumbo la ng'ombe! Watanzania kueni wasafi nyoosheni nguo pasi mweh mnatia aibu.

Afu tabia ya kujipulizia pafyumu zenu za mia mia muache mnatuumiza pua.
Acha utoto.
 
Waambie wapambanie katiba mpya na tume huru
 
Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani kwake ata kioo hana hakujiangalia wakati anatoka?

Nguo utfikiri imetoka kwenye tumbo la ng'ombe! Watanzania kueni wasafi nyoosheni nguo pasi mweh mnatia aibu.

Afu tabia ya kujipulizia pafyumu zenu za mia mia muache mnatuumiza pua.
Huo muda hatuna babu, tuwaze pesa au utanashati?
 
Back
Top Bottom