Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 16,669
- 21,894
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?