Kuhusu suala la kulea, watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga mifugo kama mifugo mingine kama kuku.
Mtu ana mtoto lakini hajui mtoto anacheza wapi, mtoto anacheza na nani wala mtoto anacheza michezo gani. Mtoto akitoka asubuhi anarudi mida ya kula tu baada ya hapo haonekani mpaka usiku. Na akirudi haulizwi alikua wapi? Vitoto vichafuu vinazurura tu kama havina mwenyewe!
Mtoto anaenda shule, mzazi hata hajui mtoto anasoma nini shule. Mzazi kazi yake ni kumpatia mtoto chakula mengine mtoto mwenyewe atajua cha kufanya. Watanzania wengi hawalei bali wanafuga mifugo.